iqna

IQNA

Hija na Umrah
IQNA – Mamlaka ya Jumla ya Saudi Arabia kwa Utunzaji wa Masuala ya Msikiti Mkuu na Msikiti wa Mtume imetoa seti ya miongozo tisa kwa mahujaji wa kike, lengo likiwa ni kuhakikisha mazingira yenye mpangilio na heshima kwenye maeneo hayo matakatifu.
Habari ID: 3479869    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/07

IQNA - Sheikh Saleh Al-Shaiba, mshika ufunguo mkuu na mlezi wa Kaaba Tukufu, alizikwa siku ya Jumamosi asubuhi kwa ajiri ya kuugua kwa muda mrefu.
Habari ID: 3479009    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/24

Ka'aba Tukufu
IQNA – Mpango wa kawaida wa matengenezo na ukarabati wa Ka’aba katika mji mtakatifu wa Makka ulianza Jumamosi.
Habari ID: 3478023    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/12

Qiraa ya Qur'ani
Klipu ya qiraa ya usomaji mzuri na wenye mvuto wa Qur'ani Tukufu Yasser Al-Dosri, mmoja wa wasomaji mashuhuri wa Saudi Arabia na mmoja wa maimamu wa Masjid al-Haram (Msikiti Mtakatifu wa Makka) katika sala ya Alfajiri katika msikiti huu mtukufu, imevutia hisia za watumiaji wengi wa mtandao.
Habari ID: 3477090    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/03

TEHRAN (IQNA)- Mijumuiko mkiubwa ya futari itaruhusiwa tena katika Msikiti Mtakatifu wa Makka, Al Masjid Al Haram katika mwezi mtukufu wa Ramadhani baada ya kuzuiwa kwa muda wa miaka miwili kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3475045    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/15